Afrika
Tanzania na Uganda zakubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara
Makubaliano hayo yamefikiwa katika mkutano wa majadiliano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania Dkt. Stergomena Tax na Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda na Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Rebecca Kadaga
Maarufu
Makala maarufu