Uchambuzi
Jinsi kuondoka kwa Shell Nigeria kunavyoweza kuanzisha ukuaji katika sekta ya mafuta
Sekta ya mafuta na gesi Nigeria inajiandaa kwa mabadiliko huku kampuni kubwa ya Uingereza, Shell, inapanga kuuza biashara yake kwa bei ambayo wengi wanaiona kama fursa kubwa kwa kampuni za ndani kuchukua hatua na kuanzisha awamu inayofuata ya ukuajiTürkiye
Uturuki tayari kwa ushirikiano zaidi katika nishati na Libya zaidi ya mafuta, gesi
Waziri wa nishati Bayraktar anashughulikia changamoto zinazozunguka ulimwengu wa nishati katika Mkutano wa Nishati na Kiuchumi wa Libya 2024, akiangazia uwezo wa Libya wa maendeleo ya nishati mbadala wakati Ankara iko tayari kwa ushirikiano zaidi.
Maarufu
Makala maarufu