Michezo
Orhan Ayhan: Mtangazaji wa michezo Mturuki avunja rekodi ya dunia
Katika kazi yake yote, Orhan ameshuhudia rekodi zikivunjwa. Amewaona watu mbalimbali. Ameona hadithi za ushindi, vikombe na vyeo vikitolewa sasa na yeye hatimae kuvunja rekodi ya dunia kwa kuhudumu muda mrefu zaidi tasnia ya utangazaji michezo.
Maarufu
Makala maarufu