Ulimwengu
Indonesia: Mvua kubwa yatatiza shughuli ya utafutaji wa waliopotea
Mvua kubwa iliyonyesha Jumatano nchini Indonesia, imetatiza shughuli za uokoaji wa watu 30 waliofukiwa katika maporomoko ya udongo yaliyokumba eneo la machimbo haramu, katika kisiwa cha Sulawesi mwishoni mwa juma, na kuuwa watu 23.
Maarufu
Makala maarufu