Afrika
Vifo, watu kuteseka zaidi huku mzozo wa Sudan umeingia wiki ya tatu
Mapigano kati ya majeshi ya majenerali hasimu yameathiri majimbo 12 kati ya 18, Wizara ya Afya ya Sudan inasema, huku waziri mkuu wa zamani Hamdok akionya vita nchini Syria, Yemen, Libya "itakuwa mchezo mdogo" ikiwa ni vita inaendelea Sudan.Afrika
Mapigano Sudan yanaweza kuwa 'Jinamizi' kwa ulimwengu - Waziri Mkuu wa zamani Hamdok
Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan Abdalla Hamdok alielezea mzozo unaoendelea kama ''vita visivyo na maana.'' Vita hivi sasa viko katika wiki yake ya tatu huku mamia wakiuawa na maelfu kujeruhiwa bila dalili za wazi za kusitisha mapigano.
Maarufu
Makala maarufu