Afrika
Kwa nini nchi tajiri zinatakiwa zilipe zaidi katika mabadiliko ya tabia nchi?
Katika mkutano wa COP 29 uliokamilika Azerbaijan, nchi zinazoendelea hazijafurahia uamuzi wa kuchangia kiasi cha dola bilioni 300 kila mwaka ifikapo 2035 kwa ajili ya mikakati ya kukabiliana na athari ya mabadiliko ya tabia nchi.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu