- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Gaza Iliyozingirwa
Matokeo ya 4 yanayohusiana na Gaza Iliyozingirwa yanaonyeshwa
Afrika
UN yaamua kuiorodhesha Israeli miongoni mwa nchi zinazodhuru watoto
Mashambulizi ya Israeli Gaza, hivi sasa yameingia siku ya 245, yameua takriban Wapalestina 36,731 — 71% wanawake, watoto na watoto wachanga ––na kuwajeruhi 83,530, na 10,000 zaidi wakifukiwa chini ya vifusi vya nyumba zilizopigwa mabomu.Ulimwengu
Familia za mateka wa Israel zatishia mgomo wa kula baada ya Netanyahu kuwapuuza
Vyombo vya habari vya ndani vinasema tishio hilo lilitolewa baada ya Waziri Mkuu Netanyahu kukataa kukutana na baadhi ya familia 100 ambazo zilimshutumu Waziri Mkuu wa mrengo wa kulia wa Israel kwa kutaka kuligawanya kundi hilo.Ulimwengu
Yanayojiri:Waziri Mkuu wa Qatar anasema changamoto 'ndogo' zimesalia kwenye makubaliano ya kubadilishana mateka
Vita vya Israel dhidi ya Gaza - sasa katika siku yake ya 44 - vimeua zaidi ya Wapalestina 12,300, wakiwemo watoto 5,000, na kujeruhi 29,000. Maelfu ya Wapalestina wanahofiwa kupotea au kuzikwa katika vifusi.
Maarufu
Makala maarufu