Afrika
Mamlaka ya petroli nchini Kenya yaonya juu ya kuchafuliwa mafuta katika mafuriko
Mamlaka inayohusika na Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya EPRA, imeagiza vituo vya kuuzia mafuta vilivyofurika maji kufungwa kwa muda huku ikihofia uwezekano wa kuvuja petroli katika mazingira kutokana na mafuriko yanayoendelea
Maarufu
Makala maarufu