Ulimwengu
Mkutano wa G77 na China waanza nchini Cuba ikilenga kuimarisha sauti ya 'Ulimwengu wa Kusini'
G77 na China, kundi la nchi zinazoendelea kukua ambazo zinawakilisha asilimia 80 ya idadi ya watu duniani, limekusanyika Cuba likisaka kukuza "utaratibu mpya wa uchumi wa dunia " huku kukiwa na onyo la ongezeko la mgawanyikoMichezo
Hekaya ya Melissa Vargas, malkia anayemeremeta Voliboli Uturuki na "Masultan wa wavu"
Melissa Vargas mzaliwa wa Cuba, kiungo muhimu kwa kikosi kilichoshinda Ubingwa wa Volleyball ya Ulaya na Ligi ya Mataifa, alianza safari yake ya timu ya taifa kwa kupokea kitambulisho chake cha uraia Uturuki kutoka kwa mkono wa Rais Erdogan
Maarufu
Makala maarufu