Ulimwengu
Viongozi wa CIA, Mossad, Qatar kujadili kusitisha mapigano Gaza
Mkurugenzi wa CIA William Burns, mkuu wa Mossad David Barnea, na Waziri Mkuu wa Qatar Al Thani walikutana na maafisa wa Misri Mjini Cairo "kujadili makubaliano ya kusitisha Mapigano huko Gaza", vyombo vya habari vya Misri vimeripoti.
Maarufu
Makala maarufu