Afrika
Ajali ya MV Bukoba: Familia zaendelea kuwakumbuka wapendwa wao, miaka 28 baadae
Huzuni ilighubika taifa la Tanzania siku ya Mei 21, 1996 baada ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 800 huku baadhi ya watumishi wa Serikali wakishtakiwa kwa kosa la jinai kutokana na ajali hiyo.
Maarufu
Makala maarufu