Afrika
Amnesty yashutumu polisi kwa kuwaua waandamanaji wa Gen Z Nairobi
Watu 12,00O wametia saini ombi la Amnesty International la kutaka kuundwe Tume ya mahakama ya Uchunguzi na uwajibikaji kwa vifo na majeraha yanayotokana na matumizi ya polisi kinyume cha sheria dhidi ya waandamanaji nchini Kenya.
Maarufu
Makala maarufu