Afrika
Palestina yakemea wito wa Ben-Gvir wa kujenga sinagogi katika Msikiti wa Al-Aqsa
Waziri wa Usalama wa Israel Itamar Ben-Gvir amependekeza kujenga sinagogi katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa, jambo lililokemewa na Palestina kama uchochezi na jaribio la kuliingiza eneo hilo katika "vita vya kidini".
Maarufu
Makala maarufu