Michezo
Kombe la Dunia 2026: Matokeo na ratiba ya mechi za kufuzu Afrika
Mbio za kuwania tiketi ya Kombe la Dunia 2026 zinaendelea leo huku timu zikipiga mechi zao za pili za kufuzu ili kujipa moja kati ya nafasi tisa zilizotengewa Bara la Afrika kwenye kombe hilo litakalochezwa Marekani, Canada na Mexico 2026.
Maarufu
Makala maarufu