Maoni
Je, makubaliano ya Amani yamewapa matumaini raia wa Chad?
Ili kusudi kuyapa uzito na umuhimu mazungumzo yanayoendelea Doha, lipo suala muhimu na la msingi lililoibuka. Kuwepo kwa mwingiliano wa Jeshi la Chad katika siasa na uongozi wa taifa hilo limekuwa kigezo muhimu cha kujaribu kufikia makubaliano.
Maarufu
Makala maarufu