Türkiye
Uturuki yatibua shirika la kimataifa la uhalifu Comanchero, na kuwatia mbaroni watuhumiwa 37
Comanchero ambayo iko Australia na inaongozwa na Hakan Ayik, inafanya kazi kote duniani na inashiriki katika shughuli za uhalifu, pamoja na biashara ya dawa za kulevya, mauaji, wizi wa silaha, uchomaji moto, na utekaji nyara
Maarufu
Makala maarufu