Afrika
Vyama vya walimu Kenya vyagawanyika kuhusu mgomo
Muungano wa Walimu wa Elimu Baada ya Elimu ya Msingi (KUPPET) bado umesisitiza kutojihusisha na taasisi za masomo kwa kile wanachodai kushindwa na Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) kutekeleza kikamilifu Mkataba wa Makubaliano ya Pamoja wa 2021/25 (CBA)
Maarufu
Makala maarufu