Michezo
Arteta atetea mbinu zake za ulinzi kwenye mechi kali dhidi ya Man City
Mikel Arteta ametetea mbinu zake za kuweka ngome ya hali ya juu Arsenal katika mchuano wao wa uhasimu wa Ligi kuu ya Premier dhidi ya Manchester City, akisema angekuwa "mjinga" asingejifunza kutoka kwa mechi za hapo awali.
Maarufu
Makala maarufu