- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Ukatili Wa Wanajeshi Wa Israel
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Ukatili Wa Wanajeshi Wa Israel yanaonyeshwa
Ulimwengu
Israel inaendelea na mauaji ya Wapalestina kote Gaza
Vita vya Israel huko Gaza - sasa katika siku yake ya 436 - vimewaua Wapalestina 44,976 na wengine 106,759 kujeruhiwa. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu 4,047 tangu Oktoba 2023 na inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ya Novemba 27.Ulimwengu
Israel yawaua Wapalestina 11 kaskazini, kusini mwa Gaza
Vita vya mauaji ya halaiki ya Israel dhidi ya Gaza, vilivyo katika siku yake ya 344 sasa, vimeua Wapalestina 41,118 na kuwajeruhi wengine 95,125 - makadirio ya kihafidhina - huku 10,000+ wakiaminika kuzikwa chini ya vifusi vya nyumba zilizoangamizwa.Ulimwengu
Mashambulio ya Israeli huko Rafah hayataondoa Hamas: Blinken
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatahadharisha juu ya matokeo ya mashambulizi makubwa ya Israel huko Rafah, akitaja hatari ya "machafuko," huku akikiri kwamba majeshi ya Israel yameua raia zaidi ya wapiganaji wa Hamas.Ulimwengu
UN yatoa tahadhari ya 'uhalifu wa kivita' huku miili 300 ikipatikana katika makaburi ya halaiki, Gaza
Kugunduliwa kwa mamia ya miili ya Wapalestina katika hospitali za Nasser na Shifa, huku baadhi ya waathiriwa wakiwa wamevuliwa nguo na kufungwa mikono, kumezusha wasiwasi kutoka kwa Umoja wa Mataifa.Ulimwengu
Wanajeshi wa Israel waaminiwa kumuua mtoto mdogo wa Gaza Hind Rajab - yasema ripoti
Picha za satelaiti, rekodi, mahojiano na wataalam wa silaha zinaonyesha kuwa wanajeshi waliovamia wanaweza kuwa wamemuua mtoto mdogo, jamaa zake na waokoaji wawili mapema mwaka huu, na kutilia shaka maelezo ya hapo awali ya Israeli.
Maarufu
Makala maarufu