Afrika
Kenya yaadhimisha siku ya Mashujaa, huku wananchi wakililia hali ngumu ya maisha
Tarehe 20 mwezi Oktoba Wakenya huadhimisha siku ya mashujaa kuwaenzi waliochangia katika mapambano ya maendeleo ya nchi, hata hivyo, baadhi ya wananchi wanasema maadhimisho haya yanakuja wakati hali ya maisha ikizidi kuwa ngumu
Maarufu
Makala maarufu