Türkiye
Uturuki kutekeleza mradi wa 'Steel Dome' ili kuimarisha usalama
Uturuki inatazamiwa kukuza mfumo wake wa ulinzi wa anga wa "Steel Dome" kama ilivyotangazwa na Rais Erdogan, ikilenga kuhusisha mifumo ya ulinzi iliyopangwa kwa tabaka, vitambuzi na silaha, huku ikiboresha uwezo wake wa ndege zisizokuwa na rubani.
Maarufu
Makala maarufu