Uchambuzi
Jinsi kuondoka kwa Shell Nigeria kunavyoweza kuanzisha ukuaji katika sekta ya mafuta
Sekta ya mafuta na gesi Nigeria inajiandaa kwa mabadiliko huku kampuni kubwa ya Uingereza, Shell, inapanga kuuza biashara yake kwa bei ambayo wengi wanaiona kama fursa kubwa kwa kampuni za ndani kuchukua hatua na kuanzisha awamu inayofuata ya ukuaji
Maarufu
Makala maarufu