Michezo
Mbwana Samatta na PAOK guu moja ndani ya Europa Conference League
Klabu ya Ugiriki ya PAOK ambapo mchezaji nyota kutoka Tanzania, Mbwana Samatta anapochezea, imeongeza nafasi yake ya kufuzu hatua ya makundi Europa Conference League ikielekea mechi ya mkondo wa pili baada ya kuishinda Hearts ya Scotland 2-1
Maarufu
Makala maarufu