Uchambuzi
'Sisi wengi tunabaki ndani ya nyumba': Waafrika wanakabiliana na hofu nchini Uingereza
Maisha nchini Uingereza yamebadilika kwa wahamiaji wa Kiafrika huku ghasia zinazochochewa na taarifa potofu zinazosambazwa na makundi ya mrengo wa kulia yanayofuata ajenda ya ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu ikiwaacha hatarini zaidi na kukosa amani
Maarufu
Makala maarufu