Afrika
Jiji la Rabat lapata sifa ya maktaba ya ulimwengu
Uamuzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) la kuipa Rabat hadi ya mji mkuu wa vitabu ulimwenguni, ukiwa ni mji wa tano Afrika kuwa na sifa hiyo, ni ishara ya kuenzi utajiri wa fasihi na utamaduni nchini Morocco.
Maarufu
Makala maarufu