Türkiye
Ankara: Rais Erdogan wa Uturuki akutana na maafisa wa usalama wa Poland na Romania
Rais Erdogan amesema Uturuki inatarajia mshikamano kamili ndani ya NATO, akiwataka washirika kujizuia kuwekeana vizuizi, na kuachana na juhudi za kuitenga Ankara katika muktadha wa ushirikiano wa NATO na Umoja wa Ulaya.Türkiye
Filamu ya TRT 'Green Border' yashinda tuzo 7 kwenye Tamasha la Filamu la Venice
Utayarishaji filamu wa pamoja wa TRT katika filamu ya "Green Border," iliyoongozwa na mtayarishaji mahiri kutoka Poland Agnieszka Holland, ilishinda tuzo saba, ikiwa ni pamoja na "Tuzo Maalum ya Baraza" kwenye Tamasha la 80 ya Filamu la Venice.
Maarufu
Makala maarufu