Ulimwengu
Uhispania, Norway na Ireland zimelitambua rasmi taifa la Palestina
Israel imewauwa Wapalestina wasiopungua 36,096 - wakiwemo watoto wachanga na wanawake - na kujeruhi 81,136 katika vita vyake vya siku 235 dhidi ya Gaza, huku takriban watu zaidi ya10,000 wakihofiwa kuzikwa chini ya vifusi vya nyumba zilizolipuliwa.
Maarufu
Makala maarufu