Afrika
Blinken wa Marekani akutana na rais wa Uturuki, waziri wa mambo ya nje mjini Istanbul
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na waziri wa mambo ya nje Hakan Fidan walimpokea waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken katika mkutano wa faragha mwanzoni mwa ziara yake ya Mashariki ya Kati.
Maarufu
Makala maarufu