Afrika
Waziri Mkuu: Kenya yapendekeza kurudisha cheo hicho katika ngazi za utawala
Raila Odinga ndiye alikuwa waziri mkuu wa mwisho wa Kenya alipohudumu kati ya 2008-2013 baada ya kusaini makubaliano ya kugawana madaraka na aliyekuwa rais Mwai Kibaki kufuatia machafuko ya kisiasa kutokana na uchaguzi wa 2007.
Maarufu
Makala maarufu