Afrika
SADC yateuwa jopo la wazee kutatua mzozo wa Msumbiji
Mkutano wa viongozi wa SADC ulibainisha kuwa na wasiwasi wa kuzorota kwa hali ya kisiasa na usalama Msumbiji baada ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na athari za kijamii na kiuchumi nchini humo na athari mbaya kwenye minyororo ya ugavi wa bidhaa muhimu.
Maarufu
Makala maarufu