Türkiye
Muungano wa OIC waafikia kwa pamoja kupigana na habari za kupotosha pamoja na chuki dhidi ya waislamu
Habari za kupotosha ni hatari sio tu kwa mtu binafsi lakini zaidi pia kwa usalama wa taifa na jamii ya Waislamu kwa ujumla, asema Mkurugenzi wa mawasiliano wa Turkiye wakati akihutubia mkutano wa OIC.
Maarufu
Makala maarufu