Michezo
Simba kuchuana na miamba bora barani Afrika huku CAF ikitangaza African Football League
Sherehe ya Ufunguzi na mechi ya kwanza zitafanyika tarehe 20 Oktoba 2023 jijini Dar es Saalam, Tanzania. Vilabu vilivyoorodheshwa zaidi vya mpira barani Afrika vitachuana katika shindano hilo jipya la kusisimua la Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)
Maarufu
Makala maarufu