Afrika
Jeshi la DRC lakomboa mji wa Kalembe kutoka kwa M23
Siku ya Jumanne, Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lilisema kuwa limefanikiwa kutwaa mji wa Mashariki wa Kalembe, siku moja baada ya kuchukuliwa na kikundi cha waasi cha M23, licha ya M23 kusisitiza kuwa bado wanaendelea kushikilia mji huo.
Maarufu
Makala maarufu