Maisha
Melisa, kutoka mhudumu wa usafi hadi mwanafunzi wa udaktari
Melisa Metin, ambaye amekuwa mfanyakazi wa usafi katika Chuo kikuu Cha Inönü Turgut Özal nchini Uturuki, amegeuka kuwa mwanafunzi na kuanza masomo katika Chuo Kikuu hicho baada ya kufanikiwa katika mtihani wa Taasisi za Elimu ya Juu (YKS)
Maarufu
Makala maarufu