Michezo
Tanzania kwa mara ya kwanza kushiriki michuano ya NCBA Golf Series Nairobi
Zaidi ya wachezaji 200 watashiriki fainali jijini Nairobi ikiwemo wachezaji wa ridhaa (Amateur) na wakulipwa (Professionals) huku zawadi kubwa ikiwa ni kiasi cha shilingi100,000 za Kenya kwa kila mshindi katika nafasi tatu bora.
Maarufu
Makala maarufu