Türkiye
Uturuki kuungana na Afrika Kusini katika kesi ya mauji ya halaiki dhidi a Israel —Waziri wa Mambo ya Nje Fidan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametangaza uamuzi wa Uturuki wa kushiriki katika kesi dhidi ya Israeli ya mauaji ya halaiki katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa, na kusema kuwa punde Ankara itakamilisha taratibu za kisheria kwa ajili ya kesi hiyo.
Maarufu
Makala maarufu