- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Mauaji Ya Kimbari
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Mauaji Ya Kimbari yanaonyeshwa
Ulimwengu
Israel inaendelea na mauaji ya Wapalestina kote Gaza
Vita vya Israel huko Gaza - sasa katika siku yake ya 436 - vimewaua Wapalestina 44,976 na wengine 106,759 kujeruhiwa. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu 4,047 tangu Oktoba 2023 na inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ya Novemba 27.Ulimwengu
Wapalestina 14 zaidi wauawa katika mashambulizi ya anga ya Israel huko Gaza
Vita vya Israel dhidi ya Gaza - sasa katika siku yake ya 400 - vimewaua Wapalestina 43,508 na kujeruhi zaidi ya 102,684, huku wengine 10,000 wakihofiwa kufukiwa chini ya vifusi. Huko Lebanon, Israeli imeua zaidi ya watu 3,117 tangu Oktoba 2023.
Maarufu
Makala maarufu