Afrika
Uchaguzi DRC 2023: Marie IFOKU mgombea urais anaetaka mabadiliko kupitia ufagio
Uchaguzi huo wa Disemba 20 utashuhudia wagombea wanawake wawili katika wagombea 22. Mbali Bi Marie-Josée IFOKU, mwanamama Joëlle Bile, ambae ni mwanahabari wa zamani naye pia amejitosa kwenye kinying'anyiro hicho.
Maarufu
Makala maarufu