Afrika
Mahakama nchini Kenya yafuta marufuku ya kuvuna makadamia
Oktoba 2023 Wizara ya Kilimo nchini Kenya ilitoa agizo la kuwepo kwa marufuku ya uuzaji nje wa parachichi na njugu za makadamia, lakini baadhi walilalamika kuwa karanga hizo zilikuwa tayari zimekomaa na zisingeweza kusubiri kuvunwa mwakani.
Maarufu
Makala maarufu