Uchambuzi
Jinsi aina mpya ya viazi inavyoweza kuwa mkombozi wa upatikanaji wa chakula Burkina Faso
Wanasayansi Burkina Faso wametengeneza katika maabara aina mpya ya chakula jamii ya mizizi inayoitwa "viazi mbatata vyenye radha ya chungwa" yenye utajiri wa vitamini A, chuma, zinki na iodini, na inaweza kukua katika kipindi cha miezi mitatu tu
Maarufu
Makala maarufu