Türkiye
AFRIKA NDANI YA ANKARA: Kuwawezesha Wanawake kupitia Jumba la Afrika yaani ‘Afrika Evi’
Kama njia moja ya kukuza ukaribu wa Türkiye na Afrika, Jumba au jengo la ‘African House’ linapania kutoa nafasi ya kuonesha bidhaa kutoka Afrika, ikiwa ni pamoja na kazi za Sanaa kutokea bara hilo huku likiwezesha upatikanaji wa soko.
Maarufu
Makala maarufu