Afrika
Algeria yatoa rambirambi kwa Morocco, yafungua anga kufuatia tetemeko la ardhi
Algeria na Morocco ni wapinzani wa kikanda wenye uhusiano unaokabiliwa na mzozo kuhusu Sahara Magharibi. Algeria ilivunja uhusiano wa kidiplomasia na Morocco Agosti 2021, ikiishtaki kwa kuwa na "mwelekeo wa uhasama", huku Rabat ikikataa vikali
Maarufu
Makala maarufu