Ulimwengu
Gaza: Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa aitisha kikao cha dharura kupitia kifungu cha 99
Katibu mkuu wa UN ametangaza kifungo 99 cha mkataba wa Umoja wa Mataifa, ambacho kinampa mamlaka ya kuitisha mkutano wa Baraza la Usalama kujadili Gaza ambapo anasema kuna hatari kubwa ya kuanguka kwa mfumo wa kibinadamu.
Maarufu
Makala maarufu