Afrika
UN yaamua kuiorodhesha Israeli miongoni mwa nchi zinazodhuru watoto
Mashambulizi ya Israeli Gaza, hivi sasa yameingia siku ya 245, yameua takriban Wapalestina 36,731 — 71% wanawake, watoto na watoto wachanga ––na kuwajeruhi 83,530, na 10,000 zaidi wakifukiwa chini ya vifusi vya nyumba zilizopigwa mabomu.
Maarufu
Makala maarufu