Türkiye
TEKNOFEST, tamasha la kwanza na la kipekee la teknolojia Uturuki, lakaribia kuanza, Izmir
Tamasha maarufu la TEKNOFEST, la anga na teknolojia linakaribia kuanza nchini Uturuki, huku likitarajiwa kufungua milango yake katika Uwanja wa Ndege wa Çiğli, mjini Izmir na kuwaleta pamoja wapenda sayansi
Maarufu
Makala maarufu