Michezo
Ethiopia yashinda medali ya fedha, Kenya shaba katika mbio za marathon za wanawake
Tigst Assefa wa Ethiopia alinyakua medali ya fedha katika Michezo ya Olimpiki ya Paris, huku Mkenya Hellen Obiri akitwaa shaba katika mbio za marathon za wanawake zilizoshinda Sifan Hassan wa Uholanzi siku ya Jumapili.
Maarufu
Makala maarufu