Afrika
Urusi yaialika Palestina katika mazungumzo dhidi ya mashambulizi ya Israeli Gaza
Moscow, ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijaribu kuwa na uhusiano mzuri na pande zote katika kanda, hivi sasa imekuwa ikikosoa Israeli na washirika wake wa Magharibi wakati mashambulizi ya Israeli yakiendelea Gaza.
Maarufu
Makala maarufu