Ulimwengu
Shirika la Afya duniani WHO: Hospitali ya Al-Shifa, Gaza ni eneo la mauti
Zaidi ya Wapalestina 12,300, wakiwemo watoto 5,000 wameuawa, huku 29,000 wakijeruhiwa kwenye vita vya Israel dhidi ya Gaza. Zaidi ya Wapalestina 3,600, wakiwemo watoto 1,750, wamekosekana au kuzikwa chini ya vifusi vya majengo yaliyopigwa bomu.
Maarufu
Makala maarufu