Ulimwengu
Mustakabali wa Georgia upo katika uhusiano wake wa kudumu na Uturuki na sio Ulaya
Nchi za Magharibi zinazoongozwa na Marekani zilijaribu kwa bidii kuyafanya maandamano ya Tbilisi kama kura ya maoni inayounga mkono Umoja wa Ulaya. Lakini Wageorgia walizungumza vinginevyo kupitia uchaguzi ulioshindwa na chama cha Georgian Dream.
Maarufu
Makala maarufu