Michezo
Mshambuliaji kutoka Rwanda anyakua tuzo ya ‘Mchezaji bora zaidi wa kiafrika, Ubelgiji.’
Mike Ndayishimiye, 23, mshambuliaji wa kiungo cha kati anayechezea klabu ya Genk, alikuwa miongoni mwa wachezaji 5 walioteuliwa akiwemo mchezaji mwenza wa klabu ya Bilal El Khannouss kutoka Morocco na Joseph Paintsil wa Ghana.
Maarufu
Makala maarufu